0659 907 950 / 0765 246 735 bucohas@gmail.com

Call for Application 2026/2027

Kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2026/2027.

How to Apply

Tuma application yako kwa kupitia njia mojawapo kati ya zifuatazo:

1. Download Application Form

Pakua (download) application form, kisha print na ijaze vizuri. Lipia application fee 15000 /= CRDB bank kwenye account 0150521787500 (jina la account ni Buhongwa College of Health and allied Sciences). Scan fomu iliyojaazwa pamoja na bank slip, kisha zitume kupitia WhatsApp 0765 246 735 au e-mail bucohas@gmail.com.

Download Application Form

2. BUCOHAS Online Application System

Fanya application kupitia BUCOHAS online application system.

Apply Online

3. NACTVET Central Admission System

Fanya application kupitia mfumo wa NACTVET Central Admission System (CAS) kwenye tovuti www.nactvet.go.tz.

NACTVET-CAS Portal

Contact for Application

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0765 246 735, 0689 360 489 au 0659 907 950.

Downloadable Forms