BUHONGWA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (BUCOHAS)
Registered by NACTE with registration number REG/HAS/208
"Welcome to Buhongwa College of Health and Allied Sciences (BUCOHAS) for building the bright future you deserve."
BUCOHAS offers various programmes in Health and Allied Sciences under NTA system including
Basic Technician Certificate (1 year), Technician Certificate (2 years) and Ordinary Diploma(3 years).
MEDICAL CERTIFICATE FORM
APPLICATION FORM
JOINING INSTRUCTIONS
BUCOHAS ONLINE APPLICATION
NACTE-CAS
Tuma application yako kwa kupitia njia mojawapo kati ya zifuatazo:
1.Njia rahisi kabisa. Pakua (download) application form, kisha print na ijaze vizuri. Lipia application fee 10,000/= CRDB bank au wakala wa CRDB kwenye account 0150521787500 (jina la account ni Buhongwa College of Health and allied Sciences). Scan hiyo application form iliyojaazwa pamoja na bank slip, kisha zitume kupitia WhatsApp 0659907950 au e-mail bucohas@gmail.com
2. Fanya application kupitia BUCOHAS online application system
3. Fanya application kupitia mfumo wa NACTE Central Admission System halafu bonyeza maneno yaliyoandikwa ‘Maombi ya Udahili Vyuo Vya Afya’
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0659907950 au 0765246735 au 0689360489 au 0628716766